sw_tn/isa/31/03.md

20 lines
838 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Misri ni mwanamume
Hapa Misri ina maana ya wanajeshi wa Misri. "Wanajeshi wa Misri ni wanamume"
# farasi wao ni nyama na sio roho
Hii ina maana ya kwamba farasi wao ni farasi tu na sio viumbe vya kiroho. "farasi wao ni farasi tu; sio roho zenye uwezo!"
# Yahwe atakapofikia kwa mkono wake
Msemo "mkono" mara kwa mara hutumika kwa kumbukumbu ya matendo na uwezo wa Mungu. "Yahwe hutumia uwezo wake dhidi yao"
# wote yule anayesaidia atajikwaa, na yule anayesaidiwa ataanguka
Misemo hii miwili kimsingi ina maana moja. Kujikwaa na kuanguka ni sitiari ya kushindwa. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "vitu hivi viwili vitatokea: nitaiangamiza Misri, inayokusaidia, na nitakuangamiza wewe, ambaye Misri inasaidia"
# yule anayesaidiwa ataanguka
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "yule ambaye anatafuta msaada"