sw_tn/isa/27/06.md

20 lines
815 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anazungumza. Anaendelea kufafanua watu wa Israeli kama shamba la mizabibu.
# Katika siku ijayo
Hii inazungumza juu ya siku kana kwamba inasafiri na kufika sehemu. "Katika siku za usoni"
# Yakobo atachuku mzizi; Israeli atachanua na kuchomoza
Yahwe kubariki watu wa Israeli na kusababisha waweze kufanikiwa inazungumziwa kana kwamba walikuwa mzabibu unaota mizizi na kuchanua. "uzao wa Israeli utafanikiwa kama mzabibu ambao umeshika mizizi na kuchanua"
# Yakobo ... Israeli
Hapa "Yakobo" na "Israeli" ni mfano wa maneno ambao yanawakilisha uzao wa Yakobo.
# watajaza uso wa nchi kwa matunda
Yahwe kusababisha watu wa Israeli kufanikiwa sana ili kwamba waweze kuwasaidia watu wengine inazungumziwa kana kwamba walikuwa mzabibu ambao huotesha matunda mengi sana hadi kufunika dunia.