sw_tn/isa/26/20.md

12 lines
403 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# watu wangu
Hapa "wangu" ina maana ya Isaya. Pia "watu" ina maana ya watu wa Israel.
# hadi pale hasira itakapopita
"hadi Yahwe atakapokuwa hana hasir ana sisi tena"
# dunia itafunua damu yake, na haitaficha tena waliouwawa wa kwake
Yahwe kufunua mauaji yote ambayo yamefanyika duniani ili kwamba aweze kuadhibu inazungumziwa kana kwamba dunia yenyewe itamfunua kila mmoja ambaye alikuwa ameuawa.