sw_tn/isa/25/04.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# umekuwa sehemu ya usalama ... hifadhi ... hifadhi kutoka kwa dhoruba ... kivuli kutoka kwa joto
Yahwe kuwalinda watu wake inazungumziwa kana kwamba alikuwa sehemu ambayo watu wanaweza kwenda kuwa salama na kufarijiwa.
# Pale ambapo pumzi ya wakatili ulipokuwa kama dhoruba dhidi ya ukuta
Watu wakatili kuwakandamiza watu wa Mungu inazungumziwa kana kwamba walikuwa dhoruba inayopiga dhidi ya ukuta.
# Pale ambapo pumzi
"Pale upepo" au "Pale mlipuko"
# wakatili
Hiki ni kitenzi kidogo."watu wakatili" au "wale ambao ni wakatili"
# kama joto katika nchi kavu
Hii inalinganisha adui wa watu wa Mungu kwa joto ambalo hukausha nchi. Hii inasisitiza jinsi maadui wanavyosababisha watu wa Mungu kuteseka.
# kama joto linapotulizwa ... wakatili unajibiwa
Yahwe kuwasimamisha watu wakatili kutokuimba na kujivuna inalinganishwa na wingu kutoa kivuli katika siku ya kiangazi. Hii inasisitiza ya kwamba Yahwe huwafariji watu wake kwa kusimamisha wale ambao husababisha wao wateseke.
# kama vile joto linavyotulizwa kwa kivuli cha wingu
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kama vile wingu linavyopita juu kichwani na kutuliza joto"
# wimbo wa wakatili unajibiwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "utawazuia watu wakatili kutokuimba"