sw_tn/isa/24/16.md

12 lines
599 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# tumesikia
Hapa "tumesikia" ina maana ya Isaya na watu wa Israeli. Isaya anafafanua kitu katika siku za usoni kana kwamba kimekwisha tokea. "tutasikia"
# Nimeisha, nimeisha
Isaya anarudia msemo huu kusisitiza uchungu wake. Alijihangaisha sana kwa sababu aliwaona watu ambao walidanganya wengine na hawakufanya kile walichoahidi kufanya. "Nimekuwa dhaifu sana"
# Wadanganyifu wamefanya udanganyifu; ndio, wadanganyifu wamefanya udanganyifu
Isaya anarudia msemo huu kusisitiza uchungu wake. "Kweli, wale ambao hudanganya sasa wanadanganya wengine" au "Kweli, wadanganyifu wametenda udanganyifu"