sw_tn/isa/24/14.md

24 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Watainua juu sauti zao na kupiga kelele utukufu wa Yahwe
Msemo "inua juu sauti zao" ni lahaja ambayo ina maana ya kuongea kwa sauti kubwa. "Wataimba na kupiga kelele kuhusu utukufu wa Yahwe"
# Wata
Hapa "wata" ina maana ya wale ambao bado wapo hai baada ya Yahwe kuharibu dunia.
# na watapiga kelele kwa shangwe kutoka baharini
Hapa "bahari" ina maana ya Bahari ya Mediteranea ambayo ipo magharibi mwa Israeli. "na wale wa magharibi kuelekea bahari watapiga kelele za shangwe"
# Kwa hiyo katika mashariki mtukuze Yahwe
Msemo "katika mashariki" inawakilisha watu wanaoishi mashariki mwa Israeli. Isaya anaamuru watu hawa kana kwamba walikuwa plae pamoja naye. Lakini, anazungumza na watu katika siku za usoni baada ya Mungu kuharibu dunia. "Kwa hiyo kila mtu kutoka nchi za mbali za mashariki watamtukuza Yahwe"
# na katika visiwa vvya bahari mpatie utukufu
Isaya anawaamuru watu ambao wanaishi katika visiwa katika bahari ya Meditarenea kana kwamba walikuwa pale pamoja naye. Lakini, anazungumza kwa watu katika siku za usoni baada ya Mungu kuharibu dunia. "na kila mtu katika visiwa atatoa utukufu
# kwa jina la Yahwe
Hapa "jina" inawakilisha Yahwe. "kwa Yahwe"