sw_tn/isa/24/12.md

16 lines
716 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kufafanua kipindi katika siku za usoni ambapo Mungu atahukumu dunia. Manabii mara nyingine hufafanua tukio la siku za usoni kama kitu cha nyuma au cha sasa. Hii inasisitiza tukio kufanyika kwa uhakika.
# Ndani ya mji kunaachwa ukiwa
Nomino dhahania "ukiwa" inaweza kuandikwa kama "tia ukiwa" au "tupu". "Mji umetiwa ukiwa" au "Mji umeachwa tupu"
# Ndani ya mji
Huu sio mji mmoja lakini miji kwa ujumla.
# kama pale mzeituni unapigwa, kama vile masazo ya mavuno baada ya mavuno ya zabibu kukamilika
Hii inalinganisha mataifa baada ya Yahwe kuharibu nchi kwa miti na mizabibu baada ya matunda kuchukuliwa. Hii ina maana kutakuwa na watu wachache sana waliosalia katika nchi.