sw_tn/isa/22/12.md

24 lines
846 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahwe wa majeshi
Yahwe wa majeshi ya Israeli.
# kwa vichwa vilivyonyoa
Hii ilikwa ishara ya maombolezo na kutubu.
# na tule na kunywa, kwa maana kesho tutakufa
Hapa "kula na kunywa" inawakilisha kuwa na sherehe na kuendekeza kula chakula na divai. "bora tupate starehe sasa kwa kula na kunywa vyote tunavyotaka, kwa maana tutakufa hivi punde"
# Hii ilifunuliiwa masikioni mwangu na Yahwe wa majeshi
Hapa "masikio" inawakilisha Isaya kama kamili. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe wa majeshi alifunua hili kwangu"
# Hakika udhalimu huu hautasamehewa, hata utakapokufa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Hakika sitakusamehe kwa ajili ya vitu hivi vya dhambi ulivyofanya, hata utakapokufa"
# hata utakapokufa
Maana zaweza kuwa 1) Yahwe hatawasamehe, hata baada yao kufa au 2) Yahwe hatawasamehe mpaka wafe.