sw_tn/isa/19/18.md

20 lines
667 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kutakuwa na miji mitano katika nchi ya Misri ambayo inazungumza
Hii ina maana ya watu wa miji ile. "watu katika miji mitano ya Misri watazungumza"
# lugha ya Kaanani
Hii ina maana ya Kiebrania, lugha ya watu wa Mungu wanaoishi katika nchi ya Kanaani. "lugha ya watu wa Kanaani"
# kutoa kiapo cha utii
"ahidi kuwa mwaminifu"
# Moja ya miji hii itaitwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Watu wataziita moja ya miji hii"
# itaitwa Mji wa Jua
Haipo wazi kama neno la Kiebrania linalotafsiriwa "Jua" hapa lina maana ya "jua" au "uharibifu". Haipo wazi ni nini jina linasema juu ya mji. "mji unoitwa 'Mji wa Jua'" au "mji unaoitwa "Mji wa Uharibifu"