sw_tn/isa/13/11.md

32 lines
948 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kauli Kiunganishi
Yahwe anaendelea kuzungumza juu ya kile atakachofanya katika siku ya Yahwe.
# ulimwengu
Hii ina maana ya "watu wa ulimwengu"
# waovu ... wanaojivuna ... wakatili
Misemo hii ina maana ya watu ambao wana sifa hizi. "watu waovu ... watu wanaojivuna ... watu wakatili"
# wakatili
"watu wakatili"
# na nitashusha chini kiburi cha wakatili
Kuwa chini mara nyingi inawakilisha kuwa mnyenyekevu. Kushusha kiburi cha watu chini inawakilisha kufanya wawe chini. "na nitawashuhsa wakatili"
# Nitawafanya wanamume kuwa adimu kuliko dhahabu safi
Kwa nini kutakuwa na watu wachache sana inaweza kuwekwa wazi. "Nitasababisha watu wengi sana kufa mpaka watu wanaoishi watakuwa adimu zaidi kuliko dhahabu safi"
# wanamume kuwa adimu kuliko dhahabu safi ... binadamu mgumu kumpata kuliko dhahabu safi ya Ofiri
Misemo hii miwili ina maana moja.
# dhahabu safi ya Ofiri
Ofiri lilikuwa jina la sehemu ambapo kulikuwa na dhahabu safi.