sw_tn/isa/13/09.md

24 lines
902 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# siku ya Yahwe inakuja kwa ghadhabu katili na hasira ya kumwagikia
Siku kuja kwa ghadhabu na hasira ina maana ya kwamba kutakuwa na ghadhabu na hasira katika siku hiyo. Nomino dhahania "ghadhabu" na "hasira" inaweza kuelezwa kwa vivumishi "ghadhabu" na "hasira". "katika siku ya Yahwe, atakuwa na ghadhabu na hasira sana"
# hasira ya kumwagikia
Hasira hapa inazungumziwa kana kwamba yule ambaye ana hasira ni chombo kiliichojazwa na hasira. Hasira inayomwagikia ina maana ya kwamba ana hasira sana.
# kufanya nchi kutiwa ukiwa
Hii inaweza kuandikwa upya ili kwamba nomino dhahania "tia ukiwa" inaelezwa kwa kitenzi "haribu". "kuharibu nchi"
# Nyota za mbinguni na vilimia
"Nyota katika anga"
# havitatoa mwanga wao
Kutoa mwanga inawakilisha "kung'aa". "haitang'aa"
# Jua litafanywa kuwa giza
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe atauwekea giza jua" au "Jua litakuwa na giza"