sw_tn/isa/12/05.md

8 lines
317 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kusema kile ambacho watu watasema pale ambapo wafalme wanatawala.
# kwa maana miongoni mwenu yupo Mtakatiufu wa Israeli
"kwa sababu Mtakatifu wa Israeli, ambaye huishi miongoni mwenu, ana uwezo" au "kwa sababu Mtakatifu wa Israeli ana uwezo ana uwezo na anaishi miongoni mwenu"