sw_tn/isa/11/14.md

20 lines
771 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# watashuka chini kwa kasi juu ya vilima vya Wafilisti
Watu wa Israeli na Yuda wanawekewa taswira kana kwamba wao ni ndege ambao wanaweza kupaa chini kwa haraka kumshambulia mtu au mnyama. "watakwenda kwa haraka katika vilima vya Wafilisti kushambulia watu kule"
# ghuba ya Bahari ya Misri
"ghuba" ni eneo kubwa la maji ambalo huzungukwa kidogo na nchi kavu.
# Kwa upepo wake unaochoma atapunga mkono wake juu ya Mto Frati
Kupunga mkono juu ya kitu inawakilisha nguvu yake kuibadili. "Kwa nguvu yake atasababisha upepo uchomao kuvuma juu ya Mto Frati"
# upepo wake unaochoma
Huu ni upepo wenye nguvu na wa moto ambao husababisha sehemu ya maji katika mto kukauka.
# ili iweze kuvukwa juu kwa ndara
"ili kwamba watu waweze kuvuka juu hata kama wanavaa ndara zao"