sw_tn/isa/11/12.md

24 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ataandaa bango kwa ajili ya mataifa
Maana zaweza kuwa 1) "Bwana ataandaa mfalme kama bango kwa ajili ya mataifa" au 2) "Mfalme ataandaa bango kwa ajili ya mataifa"
# bango kwa ajili ya mataifa
"bendera kwa ajili ya mataifa kuona" au "bendera kuwaita mataifa kwa ajili yake"
# waliotawanywa wa kutoka Yuda
"watu wa Yuda ambao walitawanyika duniani kote"
# kutoka pembe nne za dunia
Dunia inapewa taswira ya kwamba ina pembe nne, na pembe hizo ndizo umbali mkubwa kabisa. Hii ina maana ya kila sehemu duniani ambao watu hao wanaweza kuwepo. "kutoka hata sehemu za mbali kabisa za dunia" au "kutoka duniani kote"
# Atageuza upande wivu wa Efraimu
Efraimu hapa ina maana ya uzao wa ufalme wa kaskazini wa Israeli. Nomino "wivu" inaweza kuelezwa kama kivumishi. "Atawazuia watu wa Efraimu kutokuwa na wivu"
# Yuda hatakuwa na uadui tena kwa Efraimu
Yuda hapa ina maana ya uzao wa ufalme wa kusini wa Israeli. Msemo huu unaweza kuwekwa katika halii ya kutenda. "atawazuia watu wa Yuda kutokuwa na uadui" au "atawazuia wtu wa Yuda kutochukia"