sw_tn/isa/11/08.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kufafanua amani kamili katika dunia pale mfalme atakapotawala.
# mtoto mchanga atacheza juu ya shimo la nyoka
Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba mtoto mchanga atakuwa salama kwa sababu nyoka hatamng'ata. "Watoto wachanga watacheza kwa usalama juu ya shimo la nyoka"
# nyoka ... tundu la nyoka
Misemo hii ina maana ya nyoka wenye sumu kwa ujumla. "nyoka ... matundu ya nyoka"
# mtoto aliyeachishwa ziwa
mtoto ambaye hanywi tena maziwa ya mama yake
# katika milima yangu mitakatifu
"Mlima mtakatifu" ni Mlima Sayuni, katika Yerusalemu. "katika mlima mtakatifu wote wa Yahwe"
# dunia itakuwa imejaa maarifa ya Yahwe
Msemo "maarifa ya Yahwe" yanawakilisha watu wanaomjua Yahwe. "dunia itakuwa imejaa wale ambao wanamjua Yahwe" au "wale ambao wanamjua Yahwe watafunika dunia"
# kama maji yanavyofunika bahari
Msemo huu unatumika kuonyesha jinsi dunia itakavyojaa na watu ambao wanamjua Yahwe. Inaweza kuwa wazi ya kwamba inafanya hivi kama maneno yanafanana na maneno katika msemo uliopita. "kama bahari zilivyojaa na maji"