sw_tn/isa/10/12.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bwana atakapomaliza kazi yake juu ya Mlima Sayuni na juu ya Yerusalemu, nitaadhibu
Yahwe anajizungumzia kana kwamba alikuwa mtu mwingine. "Pale Mimi, Bwana, nitakapomaliza kazi yangu juu ya Mlima Sayuni na juu ya Yerusalemu, nitaadhibu"
# kazi yake juu ... na juu ya
kazi yake ya kuadhibu. "kuadhibu ... na kuadhibu"
# Nitaadhibu usemi wa moyo wa kujisifu wa mfalme wa Ashuru na muonekano wake wa kiburi
"Nitaadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya mambo ya kiburi aliyosema na muonekano wa kiburi katika uso wake"
# Kwa maana anasema
"Kwa maana mfalme wa Ashuru anasema"
# Nimeondoa mipaka ya watu
Hapa neno "nimeondoa" ina maana ya mfalme wa Ashuru. Alikuwa kiongozi wa jeshi la Ashuru na kuchukua sifa kwa kile jeshi lilifanya kwa amri yake. "jeshi langu limeondoa mipaka ya watu"
# kama ng'ombe dume
"na nguvu kama ng'ombe dume". Baadhi ya tafsiri husoma, "kama mwanamume mwenye nguvu"
# Nimewaweka chini
"Mimi na jeshi langu tumewaweka"
# Nimewaweka chini wakazi
Maana zaweza kuwa 1) mfalme wa Ashuru amewaaibisha watu wa nchi alizozishinda au 2) ameondoa wafalme wa mataifa ili zisiweze kutawala tena.