sw_tn/isa/08/08.md

20 lines
857 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Bwana anaendelea kufafanua jeshi la Ashuru kama mto ambao utafurika Yuda.
# Mto utafagia mbele mpaka Yuda, kufurika na kupitiliza mbele, hadi ufike shingoni mwako
Jeshi la Ashuru ni kama maji yafurikayo. "Wanajeshi zaidi na zaidi watakuja kama mto unaopanda juu ya shingo yako"
# Mto
Mto Frati katika Ashuru. Huu ni mfano wa maneno kwa ajili ya wanajeshi wa Ashuru, ambao watakuja kutoka katika nyumba zao kwa Mto Frati.
# mabawa yake yaliyonywoshwa yatajaza
Maana zaweza kuwa 1) kama "Mto" kwa sitiari kuinua, "mabawa" yake kutiririka juu na kufunika kile kilichokuwa nchi kavu au 2) Isaya anabadili sitiari na sasa anazungumza juu ya Yahwe kama ndege anayelinda nchii, "Lakini mabawa yake yaliyonywoshwa yatafunika"
# Imanueli
Watafsiri wanaweza kuongeza maandishi yanayosema: "Jina Imanueli lina maana ya 'Mungu pamoja nasi'"