sw_tn/isa/03/04.md

20 lines
906 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitaweka vijana wadogo kuwa viongozi wao, na watoto watatawala juu yao
Misemo hii ina maana ya kitu kimoja. Maana zaweza kuwa 1) "Nitaweka watu wachanga kama viongozi wao, na hao watu wachanga watatawala juu yao" au 2) "vijana" ni sitiari kwa ajili ya wanamume wapumbavu. "Nitawawekea juu yao viongozi ambao hawajakomaa, kama watu wachanga, na wale viongozi wabaya watatawala juu yao"
# Nitaweka vijana wa kawaida
Hapa neno "Nitaweka" ina maana ya Yahwe. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Yahwe anasema, "Nitaweka vijana wa kawaida kama viongozi wao""
# Watu watakandamizwa, kila mmoja kwa mwingine, na kila mmoja kwa jirani yake
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Kila mtu atakuwa mkatili kwa wengine na atamtendea ubaya jirani yake"
# walioshushwa
"watu ambao hawana heshima" au "watu ambao hakuna mtu anayewashimu"
# waliotukuka
"watu wenye heshima" au "watu ambao kila mtu anawaheshimu"