sw_tn/hos/08/08.md

20 lines
638 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# Israeli imemezwa
"imemezwa" inamaanisha imekamatwa na kupelekwa uhamishoni.
# kama punda wa mwitu pekee
Hii inamaanisha kuwa wana wa Israeli walikataa kumsikiliza Bwana lakini badala yake wakaenda kwa Ashuru kuimba msaada.
# Efraimu ameajiri wapenzi kwa ajili yake mwenyewe
Kitendo cha Efraimu kushirikiana na mataifa mengine kinazungumzwa kuwa ni kitendo cha kuwalipa kuwa makahaba kwa Efraimu. "Wana wa Israeli walijaribu kuwalipa mataifa mengine ili wawalinde"
# kwa sababu ya unyanyasaji wa mfalme wa wakuu.
Kwa sababu mfalme wa Ashuru aliitwa "mfalme mkuu" atawafanya watu wateseke.