sw_tn/hab/02/06.md

32 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla:
Yahwe anaendelea kumjibu Habakuki. Ingawa narejerea kwa Wakaldayo kama wako mtu mmoja.
# Kwa muda gani utaongeza uzito wa dhamana uliyochukua?
"Kwa wakati fulani utakuwa huwezi kuchukua dhamana kutoka kwa watu." Hii inaweza kumaanisha 1) Wakaldayo wanafanana na wanyang'anyi waliobeba dhamana wamewalazimisha watu wengine kutia saini au 2) Yahwe anatunza adhabu kwamba Wakaldayo wameiba na siku fulani atawahitaji kuwajibika.
# dhamana
ahadi ya kuzingatia imetolewa kwaajili ya deni ambalo linadaiwa, daima iliandikwa kwenye udongo wa mfinyanzi
# wale watakao kuwa wakikudai hawatainuka kwa ghafula, na wanaokusumbua kuamka
swali hili linaulizwa ili kwamba kuwafanya Wakaldayo wafikiri kuhusu jibu. "Wale ambao wanakukasirikia watakuja kinyume chako, wale unaowaogopa wataanza kushambulia"
# wale wanaodai kwako
Nahau hii inamaanisha wale ambao wanakudeni kwamba lazima walipe. Hivyo, baadhi ya tafsiri za kisasa hutafsiri kauli hii kumaanisha wanaodai, siyo wanaodaiwa.
# wale wanaokutisha
Hii inarejerea kwa walewale wadaiwa. Watawatisha Wakaldayo kwa kuwashambulia kulipa kisasi kwa deni lisilo la haki kwamba walikuwa wamelazimishwa kuwa nalo.
# inuka juu
"kuongezeka zaidi" au "kuwa na nguvu zaidi"
# iliyotekwa nyara
kuibiwa au kuchukuliwa kwa nguvu.