forked from WA-Catalog/sw_tn
4 lines
269 B
Markdown
4 lines
269 B
Markdown
|
# Benjamini ni mbwamwitu mwenye njaa
|
||
|
|
||
|
Hapa "Benyamini" ni lugha nyingine ya uzao. Yakobo anazungumzia juu ya uzao wa Benyamini kana kwamba ulikuwa mbwa mwitu wenye njaa. Hii inasisitiza ya kwamba watakuwa wapiganaji hodari. "Uzao wa Benyamini watakuwa kama mbwa mwitu"
|