sw_tn/gen/49/11.md

28 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kumfunga punda wake ... katika mzabibu mzuri
Kauli zote mbili zina maana moja. Inasemekana ya kwamba mizabibu imejaa zabibu ambayo bwana hajali kama punda inavila baadhi yao.
# wake ... amefua
Maana za muonakano wa "wake" au "amefua" ni 1) ina maana ya uzao wa Yuda. "wake ... wame" au 2) ina maana ya mtawala katika 49:10, ambayo inaweza kumaanisha Mesia.
# amefua ... katika damu ya vichala vya mzabibu
Kauli zote mbili zina maana moja. Inasemekana ya kwamba kuna zabibu nyingi sana hadi wanaweza kufua nguo zao kwa maji yake.
# amefua
Mara nyingi katika unabii matukio yatakoyotokea hapo baadae yanaelezwa kama jambo lililokwisha tokea zamani. Hii inasisitiza ya kwamba tukio hili hakika litatokea. "watafua" au "atafua"
# damu ya vichala vya mzabibu
HIi inazungumzia kuhusu maji ya zabibu kana kwamba yalikuwa damu. Hii inasisitiza jinsi gani maji yalikuwa mekundu.
# Macho yake yatakuwa meusi kama mvinyo
Hii ina maana ya rangi ya macho ya mtu kulinganisha na rangi ya mvinyo mwekundu. Maana zaweza kuwa 1) macho meusi ina maana macho yenye afya au 2) macho ya watu yatakuwa mekundu kutokana na kunywa mvinyo mwingi
# meno yake meupe kama maziwa
Hii inalinganisha rangi ya meno ya watu kwa weupe wa rangi ya maziwa. Hii inasemekana ya kwamba kutakuwa na ng'ombe wengi wenye afya na kuwa na maziwa mengi ya kunywa.