sw_tn/gen/49/10.md

12 lines
745 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Fimbo haitaondoka katika Yuda, wala fimbo ya utawala kutoka katika miguu yake
"Fimbo" na "fimbo ya utawala" ni miti iliyopambwa ambayo wafalme hubeba. Hapa ni lugha nyingine yenye maana ya nguvu ya utawala. Na "Yuda" ina maana ya uzao wake. "Nguvu ya kutawala daima itakuwa ndani ya uzao wa Yuda"
# hata atakapo kuja Shilo. Mataifa yatamtii
Maana zawezekana kuwa 1) "Shilo" ina maana "shukrani". "hadi pale mataifa yatamtii na kuleta shukrani kwake" au 2) "Shilo" ina maana ya mji wa Shilo. "hadi pale mtawala atakuja Shilo. Kisha mataifa yatamtii." Watu wengi huchukulia hili kama unabii kuhusu Mesia ambaye ni uzao wa Mflame Daudi. Daudi ni uzao wa Yuda.
# Mataifa yatamtii
Hapa "mataifa" ina maana ya watu. "Watu wa mataifa watamtii"