sw_tn/gen/49/08.md

16 lines
504 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ndugu zako watakusifu ... Wana wa baba yako watainama mbele zako
Kauli hizi mbili zina maana moja.
# watakusifu. Mkono wako
Sentensi ya pili inaeleza sababu ya sentensi ya kwanza. Neno "kwa" au "kwa sababu" linaweza kuongezwa kuweka hii wazi. "nitakusifu wewe. Kwa mkono wako" au "nitakusifu kwa sababu mkono wako"
# Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako
Hii ni njia ya kusema. "Utawashinda adui zako"
# watainama
Hii ina maana kuinama kwa unyenyekevu kuonyesha heshima na taadhima kwa mtu.