sw_tn/gen/47/23.md

12 lines
452 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nanyi mtapanda
"ili muweze kupanda"
# Wakati wa mavuno, mtampa Farao sehemu ya tano, na sehemu nne zitakuwa zenu
Neno la "tano" ni sehemu. "Wakati wa mavuno utagawanyisha mazao katika sehemu tano. Utatoa sehemu moja kwa Farao kwa ajili ya malipo na sehemu nne ni kwa ajili yenu"
# wa chakula cha nyumba zenu na watoto wenu
Unaweza kuwekwa wazi taarifa inayoeleweka. "kwa chakula kwa ajili ya nyumba zenu na kwa chakula kwa ajili ya watoto wenu"