forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
631 B
Markdown
20 lines
631 B
Markdown
|
# Yakobo akambariki Farao
|
||
|
|
||
|
Hapa "kubarikiwa" ina maana ya kuonyesha hamu ya mambo chanya na yenye manufaa kutokea kwa mtu huyo.
|
||
|
|
||
|
# Umeishi kwa muda gani?
|
||
|
|
||
|
"Una umri gani?"
|
||
|
|
||
|
# Miaka ya safari zangu ni mia moja na thelathini
|
||
|
|
||
|
Msemo wa "miaka ya safari zangu" ina maana ya muda ambao aliishi duniani akisafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine. "Nimesafiri duniani kwa miaka 130"
|
||
|
|
||
|
# Miaka ya maisha yangu imekuwa mifupi ... Siyo kama miaka ya baba zangu.
|
||
|
|
||
|
Yakobo ina maana ya kwamba maisha yake ni mafupi kulinganisha na maisha ya Abrahamu na Isaka.
|
||
|
|
||
|
# na ya maumivu
|
||
|
|
||
|
Yakobo ameonyesha maumivu mengi na matatizo wakati wa maisha yake.
|