sw_tn/gen/45/09.md

16 lines
654 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwende kwa baba yangu
Ilikuwa kawaida kutumia msemo wa "kushuka" kuzungumzia safari ya Kaanani kwenda Misri. "kurudi kwa baba yangu"
# mmwambie, 'Hivi ndivyo asemavyo Yusufu mwanao, "Mungu amenifanya ... yote uliyonayo
Hii ni nukuu yenye madaraja matatu. Inaweza kurahisishwa katika madaraja mawili. "muambieni ya kwamba hivi ndivyo nilivyosema: "Mungu amenifanya ... yote uliyonayo"
# Shuka kwangu
Ilikuwa kawaida kutumia msemo wa "shuka" kuzungumzia safari ya kutoka Kaanani kwenda Misri. "Njooni hapa kwangu"
# ukaingia katika uhitaji
Hii inazungumzia kuhusu "uhitaji" kana kwamba ilikuwa kikomo cha safari. "kupotea bure" au "kushinda njaa"