sw_tn/gen/44/33.md

24 lines
968 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sasa
Hii haimaanishi "katika kipindi hiki" lakini inatumika kuvuta nadhari kwa lengo muhimu linalofuata.
# mwache mtumishi wako
Yuda anajitambulisha mwenyewe kama "mtumishi wako". Hii ni njia rasmi ya kuzungumza na mtu mwenye mamlaka makubwa. "niruhusu mimi, mtumishi wako" au "niruhusu mimi"
# kwa bwana wangu
Yuda anamtambua Yusufu kama "bwana wangu". "kwako, bwana wangu" au "kwako"
# umwache kijana aende juu
Alikuwa akienda kutumia msemo wa "aende juu" pale alipozungumzia safari ya kutoka Misri kwenda Kaanani.
# Kwa maana nitakwenda jinsi gani kwa baba yangu ikiwa kijana hayupo nami?
Yuda anatumia swali kuweka msisitizo wa majonzi ambayo angeyapata iwapo Benyamini asingerudi nyumbani. "Siwezi kurudi kwa baba yangu iwapo kijana hatakuwa pamoja nami"
# Ninaogopa kuona mabaya yatakayompata baba yangu
Mtu anayeteseka vibaya inazungumziwa kana kwamba "uovu" ilikuwa kitu kinachokuja juu ya mtu. "Ninaogopa kumuona jinsi baba yangu atakavyoteseka"