sw_tn/gen/43/28.md

24 lines
762 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtumishi wako baba yetu
Walimuelezea baba yao kama "Mtumishi wako" kuonyesha heshima. "Baba yetu anayekutumikia"
# Wakajinyenyekeza na kuinama chini
Maneno haya yana maana moja. Walilala chini mbele ya yule mtu kumuonyesha heshima. "Waliinama chini mbele yake"
# Alipoinua macho yake
Hii ina maana "alitazama juu"
# mwana wa mamaye, naye akasema
Hii inaweza kutafsiriwa na sentensi mpya. "mwana wa mamaye. Yusufu akamwambia"
# Je huyu ndiye mdogo wenu ... mliyemsema?
Maana zaweza kuwa 1) Yusufu anauliza kwa dhati swali kupata uthibitisho ya kwamba mtu huyu ni Benyamini, au 2) ni swali la balagha. "Kwa hiyo huyu ndiye ndugu yenu mdogo ... mliyesema?"
# mwanangu
Hii ni njia ya kirafiki mtu huzungumza kwa mtu mwingine wa cheo cha chini. "kijana"