sw_tn/gen/42/26.md

20 lines
662 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mmoja wao alipofungua gunia lake ili kumlisha punda wao katika sehemu waliyokuwa, akaona pesa yake. Tazama, ilikuwa mdomoni mwa gunia lake
"Waliposimama mahali usiku huo, mmoja wa ndugu alifungua gunia lake kupata chakula kwa ajili ya punda wake. Ndani ya gunia akakuta fedha!"
# Tazama
Neno "tazama" hapa linatuamsha kuvuta nadhari kwa taarifa inayoshangaza inayofuata.
# Pesa yangu imerudishwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mtu amerudisha fedha yangu"
# Tazama
"Tazama ndani ya gunia langu!"
# Mioyo yao ikazimia
Kuwa na hofu inazungumziwa kana kwamba mioyo yao ilikuwa ikizama. Hapa "mioyo" ina maana ya ujasiri. "Wakawa na hofu sana"