forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
781 B
Markdown
20 lines
781 B
Markdown
|
# Nchi yote ya Misri ilipokuwa na njaa
|
||
|
|
||
|
Hapa "nchi" ina maana ya watu. "Ambapo Wamisri waliposhikwa na njaa"
|
||
|
|
||
|
# Njaa ilikuwa juu ya uso wote wa nchi
|
||
|
|
||
|
Neno "uso" lina maana ya sehemu ya juu ya ardhi. "Njaa ilisambaa katika nchi yote"
|
||
|
|
||
|
# Yusufu akafungua ghala zote na kuuza chakula kwa Wamisri
|
||
|
|
||
|
Hapa "Yusufu" ina maana ya watumishi wa Yusufu. "Yusufu aliwafanya watumishi wake kufungulia maghala yote na kuuza nafaka kwa Wamisri"
|
||
|
|
||
|
# Dunia yote ilikuwa inakuja Misri
|
||
|
|
||
|
Hapa "dunia" ina maana ya watu kutoka maeneo yote. "Watu walikuwa wakija Misri kutoka maeneo yaliyozunguka"
|
||
|
|
||
|
# katika dunia yote
|
||
|
|
||
|
"katika nchi yote". Inawezekana ya kwamba wafanyabiashara tofauti na mataifa ambayo yalikuwa sehemu ya njia za biashara na Misri yalioguswa na ukame walikuja Misri kwa ajili ya nafaka.
|