sw_tn/gen/41/39.md

24 lines
914 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hakuna mtu mwenye ufahamu
"hakuna mtu mwenye uwezo wa kufanya maamuzi"
# Utakuwa juu ya nyumba yangu
Hapa "nyumba" ina maana ya kasri ya mfalme na watu ndani ya kasri. Msemo "utakuwa juu" una maana ya Yusufu kuwa na mamlaka juu ya. "Utakuwa na mamlaka juu ya kila mtu ndani ya kasri yangu"
# watu wangu watatawaliwa kwa kadili ya neno lako
Hapa "neno" lina maana ya amri au kilichosemwa. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "utatawala juu ya watu wangu na wao watafanya kile unachoamuru"
# kiti cha enzi peke yake
Hapa "enzi" ina maana ya utawala wa Farao kama mfalme. "Katika nafasi yangu pekee kama mfalme"
# Tazama, nimekuweka
Neno "Tazama" linaweka msisitizo kwa kile Farao anachosema baadae. "Tazama, nimekuweka"
# nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri
Msemo "nimekuweka juu" una maana ya kutoa mamlaka. Hapa "nchi" ina maana ya watu. "Nimekuweka kuwa na mamlaka ya kila mtu ndani ya Misri"