sw_tn/gen/39/01.md

16 lines
714 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yusufu akaletwa chini Misri
Kusafiri kwenda Misri inasemekana mara kwa mara kama "chini" tofauti na kwenda "juu" katika nchi ya ahadi. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Muishmaeli alimchukua Yusufu mpaka Misri"
# Yahwe alikuwa pamoja na Yusufu
Hii ina maana ya kwamba Yahwe alimsaidia Yusufu na alikuwa pamoja naye mara zote. "Yahwe alimuongoza Yusufu na kumsaidia"
# Aliishi katika nyumba
Hapa mwandishi anazungumzia kufanya kazi ndani ya nyumba ya bwana wake kana kwamba alikuwa akiishi ndani ya nyumba ya bwana wake. Watumishi wanaoaminiwa pekee waliruhusiwa kufanya kazi ndani ya nyumba ya bwana wao. "alifanya kazi ndani ya nyumba".
# Mmisri bwana wake
Yusufu sasa alikuwa mtumwa wa Potifa.