sw_tn/gen/37/18.md

28 lines
597 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wakamwona kutokea mbali
"Ndugu zake Yusufu wakamwona alipokuwa bado yupo mbali"
# wakapanga njama ya kumwua
"wakafanya njama ya kumuua"
# mwotaji anakaribia
"anakuja yule mwenye ndoto zile"
# Njoni sasa
Msemo huu unaonyesha ya kwamba kaka zake walitekeleza mipango yao. "Kwa hiyo sasa"
# Mnyama mkali
"mnyama wa hatari" au "mnyama mkali"
# amemmeza
amemla kwa hamu
# Nasi tutaona ndoto zake zitakuwaje
Ndugu zake walipanga kumuua, kwa hiyo ni kejeli kuzungumzia kuhusu ndoto zake kuwa kweli, maana angekuwa amekwisha kufa. "Kwa njia hiyo tutahakikisha ndoto zake haziji kuwa kweli"