forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
648 B
Markdown
12 lines
648 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Hamori na Shekemu mwanawe wanaendelea kuzungumza na viongozi wa mji.
|
||
|
|
||
|
# Kwa sharti hili pekee watu hawa wanakubali kuishi nasi na kuwa wamoja: ikiwa kila mwanamme miongoni mwetu atatahiriwa, kama wao.
|
||
|
|
||
|
"Kwa sharti hili pekee iwapo kila mwanamume kati yetu atafanyiwa tohara, kama wanamume wa Israeli walivyotahiriwa, ndipo watakubali kusihi miongoni mwetu na kujiunga nasi kama kundi moja"
|
||
|
|
||
|
# Je wanyama wao na vitu vyao - wanyama wao wote kuwa wetu?
|
||
|
|
||
|
Shekemu anatumia swali kusisitiza ya kwamba mifugo wa Yakobo na mali zitakuwa za watu wa Shekemu. Hii inaweza kutafsiriwa kama kauli. "Wanyama wao wote na mali zitakuwa zetu"
|