sw_tn/gen/34/04.md

16 lines
422 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi Yakobo
"basi" inatumika hapa kuweka alama ya badiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Yakobo.
# Yakobo akasikia kwamba alikuwa
Neno "alikuwa" lina maana ya Shekemu
# alikuwa amemchafua
Hii ina maana ya kwamba Shekemu alivunja sana heshima na kumuabisha Dina kwa kumlazimisha alale naye.
# akawangoja
Hii ni namna ya kusema ya kwamba Yakobo hakusema au kufanya jambo kuhusu suala hili.