sw_tn/gen/32/09.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mungu wa baba yangu Ibrahimu, na Mungu wa baba yangu Isaka, Yahwe
Hii haimanishi mungu wawili, lakini kwa Mungu mmoja wanaomuabudu wote. "Yahwe, ambaye ni Mungu wa babu yangu Abrahamu na baba yangu Isaka"
# Yahwe, aliyeniambia, 'Rudi katika nchi yako na kwa jamaa yako, nami nitakustawisha
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Inaweza kuwekwa kama nukuu isyo moja kwa moja. "Yahwe, wewe uliyesema ya kwamba nirudi katika nchi na kwa jamaa yangu, na kwamab utanifanikisha"
# na kwa jamaa yako
"na kwa familia yako"
# nitakustawisha
"Nitafanya mema kwako" au "Nitakutendea mema"
# Mimi sistahili matendo yako yote ya agano la uaminifu na ustahilifu wote uliomfanyia mtumishi wako
Nomino zinazojitegemea "uaminifu" na "mkweli" inaweza kuwekwa kama "mwaminifu". "Sistahili wewe uwe mwaminifu kwa agano lako au kwako kuwa mwaminifu kwangu, mtumishi wako"
# mtumishi wako
Hii ni njia ya upole ya kusema "mimi"
# sasa nimekuwa matuo mawili
Hapa "nimekuwa" inamaana ya kile ambacho anacho sasa. "na sasa nina watu wa kutosha, mifugo, na mali kutengeneza kambi mbili"