sw_tn/gen/31/51.md

12 lines
543 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Rundo hili ni shahidi
Marundo haya ya mawe yalikuwa tendo ya kumbukumbu na alama ya mpaka kwa Yakobo na Labani kuhusu makubaliano yao ya amani. Yanazungumzwa kana kwamba ni mashahidi kama watu.
# Mungu wa Ibrahimu, na mungu wa Nahori, miungu ya baba zao, waamue kati yetu
Abrahamu ni babu yake Yakobo. Nahori ni babu yake Labani. Baba wa Abrahamu na Nahori ni Tera. Sio wote walimuabudu Yahwe.
# Hofu ya Isaka baba yake
Hapa neno "Hofu" lina maana ya Yahwe, ambaye Isaka alimheshimu kwa ndani na kuonyesha heshima hiyo kwa kumtii yeye.