sw_tn/gen/30/33.md

12 lines
701 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Uadilifu wangu utashuhudia kwa ajili yangu hapo baadaye
Neno "uadilifu" lina maana ya "uaminifu". Hii inazungumzia kuhusu uadilifu kana kwamba ni mtu ambaye anaweza kushuhudia kwa ajili au dhidi ya mtu mwingine. "Na baadae utajua kama nimekuwa mwaminifu na wewe au la"
# Kila ambaye hana milia na hana madoa miongoni mwa mbuzi, na mweusi kati ya kondoo, ikiwa wataonekana kwangu, watahesabiwa kuwa wameibwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Iwapo utakuta mbuzi yeyote asiyena madoa au kondoo yeyote ambaye sio mweusi, utawahesabu kuwa wameibiwa"
# Na iwe kama yalivyo maneno yako
Hapa "neno" ina maana ya kitu kilichosemwa. "Itakuwa kana kwamba unasema" au "Tutafanya kile ulichosema"