forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
699 B
Markdown
20 lines
699 B
Markdown
|
# Je nikulipe nini
|
||
|
|
||
|
"Nitakulipa nini" au "Nikupatie nini". Hii inaweza kuwekwa wazi zaidi. "Nitakulipa nini ili kwamba ubaki na kunitumikia"
|
||
|
|
||
|
# Ikiwa utafanya jambo hili kwa ajili yangu
|
||
|
|
||
|
Neno la kiunganishi "ikiwa" inaweza kuongezwa kuonyesha ya kwamba hili ni jambo moja ambalo Yakobo anataka. "Ikiwa utafanya jambo hili kwa ajili yangu"
|
||
|
|
||
|
# nitawalisha tena kondoo wako na kuwatunza
|
||
|
|
||
|
"nitalisha na kuwatunza mifugo wako"
|
||
|
|
||
|
# kuondoa kila kondoo mwenye milia na mabaka, na kila kondoo mweusi kati yao, na kati ya wenye mabaka na milia katika mbuzi
|
||
|
|
||
|
"na kutoa kila kondoo wa madoia, kila kondoo mweusi, na kila mbuzi mwenye madoa"
|
||
|
|
||
|
# Hawa watakuwa ujira wangu.
|
||
|
|
||
|
"Hii itakuwa gharama ya kuniweka hapa"
|