sw_tn/gen/30/05.md

16 lines
229 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bilha
Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Raheli.
# kumzalia Yakobo mwana
"akazaa mtoto wa kiume kwa Yakobo"
# akamwita jina lake
"Raheli akmpatia jina"
# akamwita jina lake Dani
"Jina la Dani lina maana ya "alihukumu".