sw_tn/gen/28/20.md

24 lines
804 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akatoa nadhiri
"akafanya kiapo" au "alimuahidi Mungu kwa dhati"
# Ikiwa Mungu atakuwa ... ndipo Yahwe atakapokuwa Mungu wangu
Yakobo anazungumza na Mungu katika lugha ya mtu wa utatu. Hii inaweza kusemwa katika lugha ya upili wa mtu. "Iwapo uta ... basi wewe, Yahwe, utakuwa Mungu ambaye nitamuabudu"
# katika njia nipitayo
Hii ina maana ya safari ya Yakobo kutafuta mke na kurudi nyumbani. "katika safari hii"
# atanipa mkate wa kula
Hapa "mkate" una maana ya chakula kwa ujumla.
# katika nyumba ya baba yangu
Hapa "nyumba" ina maana ya familia ya Yakobo. "kwa baba yangu na familia yangu iliyosalia"
# jiwe takatifu
Hii ina maana ya kwamba jiwe litaweka alama ya sehemu ambayo Mungu alijitokeza kwake na itakuwa sehemu ambapo watu watamuabudu Mungu. "nyumba ya Mungu" au "sehemu ya Mungu"