sw_tn/gen/28/03.md

24 lines
841 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Isaka anaendelea kuzungumza na Yakobo
# akupe uzao na akuzidishe
Neno "kuongeza" unaelezea jinsi Mungu angemfanya Yakobo "azidishiwe". "akupe uzao na watoto wengi"
# Na akupe baraka ya Ibrahimu, wewe, na uzao wako baada yako
Hii inazungumzia kuhusu kubariki mtu kana kwamba baraka ni kitu ambacho mtu anaweza kutoa. Nomino inayojitegemea "baraka" inaweza lusemwa kama "bariki". "Na Mungu akubariki wewe na uzao vyako kama alivyombariki Abrahamu" au "Na Mungu akupatie wewe na uzao wako kile alichoahidi kwa Abrahamu"
# kwamba uweze kumilki nchi
Mungu kutoa nchi ya Kaanani kwa Yakobo na uzao wake inazungumziwa kana kwamba mtoto alikuwa akirithi fedha au mali kutoka kwa baba yake.
# nchi ambapo umekuwa ukiishi
"nchi ambayo ulikuwa ukiishi"
# ambayo Mungu alimpa Abrahamu
"ambayo Mungu aliahidi kwa Abrahamu"