sw_tn/gen/19/21.md

12 lines
331 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nimekubali ombi hili pia
"nitafanya kile ulichokiomba"
# sitafanya chochote
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "sitaangamiza miji mingine"
# Soari
Watafsiri wanaweza kuongeza maandishi yanayosema "Jina la Soari linafanana na neno la Kiebrania lenye maana ya "ndogo". Lutu aliuita mji huu "mdogo" katika Mwanzo 19:20.