sw_tn/gen/19/18.md

32 lines
1.6 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtumishi wenu amepata kibali machoni pako
Kupendezwa na mtu inazungumziwa kana kwamba "fadhila" ni kitu kinachoweza kupatikana. Pia, "machoni" ni lugha nyingine inayowakilisha mawazo au fikra za mtu. "Umependezwa na mimi"
# Mtumishi wenu ame...
Lutu alikuwa akionyesha heshima kwa kumaanisha mwenyewe kama "mtumishi wako". "Mimi, mtumishi wako, nime..."
# umenionesha wema ulio mkuu kwa kuokoa maisha yangu
Kitenzi cha "wema" kinaweza kuelezwa kama "wema". "Umekuwa mwema sana kwangu kwa kuokoa maisha yangu"
# sitaweza kutorokea milimani, kwa sababu mabaya yataniwahi na nitakufa
Kutoweza kufika umbali wa kutosha mwa Sodoma pale ambapo Mungu anaangamiza mji unazungumziwa kana kwamba "uhalifu" ni mtu ambaye atamfukuza na kumfikia Lutu. "Familia yangu na mimi hakika tutakufa Mungu atakapoangamiza watu wa Sodoma, kwa sababu milima ipo mbali sana na sisi kufika kule salama"
# maisha yangu ... sitaweza kutorokea ... yataniwahi na nitakufa
Inaonyesha ya kwamba familia ya Lutu itakufa pamoja naye. "maisha yetu ... hatuwezi kutoroka ... yataniwahi, na tutakufa"
# niacheni nikimbilie pale ( Je Siyo mdogo ule?), na maisha yangu yataokolewa
Lutu alitumia swali hili la balagha kuwafanya malaika kutambua ya kwamba ule mji ni mdogo kweli. "acha nitoroke kule. Unaona jinsi gani ni mdogo. Ukituruhusu kufika pale tutaishi"
# niacheni nikimbilie pale
Ombi kamili la Lutu linaweza kuwekwa wazi. "badala ya kuangamiza mji ule, niruhusu nitoroke pale"
# maisha yangu yataokolewa
Inaonyesha ya kwamba maisha ya familia ya Lutu yataokolewa pamoja naye. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ili kwamba tuweze kuishi" au "ili kwamba tuweze okoka"