sw_tn/gen/19/14.md

28 lines
688 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Lutu akatoka
"Kwa hiyo Lutu aliondoka nyumbani"
# wakwe zake, wanaume ambao walikuwa wamewaposa binti zake
2021-09-10 19:21:44 +00:00
wakwe zake, wanaume ambao walikuwa wamewaposa binti zake Msemo wa "wanaume ambao walikuwa wamewaposa binti zake" unafafanua maana ya "mkwe" hapa. "wanamume waliokuwa wakielekea kuwaoa binti zake" au "wachumba wa binti zake"
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Alfajiri
"Kabla jua halijachomoza"
# ondoka
"Ondoka sasa"
# usipotelee katika adhabu ya mji huu
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ili Yahwe asikuangamize pia atakapowaadhibu watu wa mji huu"
# usipotelee katika adhabu
Mungu kuangamiza watu wa mji unazungumzwa kana kwamba mtu anafagia vumbi.
# ya mji
Hapa "mji" una maana ya watu.