sw_tn/gen/18/27.md

28 lines
769 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
Msemo wa "tazama" hapa unavuta nadhari juu ya taarifa ya kushangaza inayofuata.
# Nimeshika kusema
"Niwie radhi kwa kuwa wazi na kuzungumza na wewe" au "Samahani kwa kudiriki kuzungumza"
# kwa Bwana wangu
Abrahamu anaonyesha heshima kwa Yahwe kwa kuzungumza na Yahwe kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mwingine. "kwako wewe, Bwana wangu"
# mavumbi na majivu
Sitiari hii inamuelezea Abrahamu kama binadamu, ambaye atakufa na mwili wake kugeuka kuwa vumbi na majivu. "ni binadamu pekee" au "kama vile vumbi na majivu yasivyokuwa na umuhimu"
# watano pungufu katika idadi ya hao watakatifu hamsini
"watu arobaini na tano tu watakatifu"
# kwa upungufu wa hao watano
"iwapo kuna watu watano pungufu watakatifu"
# Sitaangamiza
"Sitaangamiza Sodoma"