sw_tn/gen/18/11.md

12 lines
463 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# baada ya kuwa nimechakaa na bwana wangu ni mzee, je ni tapata furaha hii?
nimechakaa na bwana wangu ni mzee, je nitapata furaha hii ya kupata mtoto? Sarai alitumia swali hili la balagha kwa sababu hakuamini angeweza kupata mtoto. "Siamini ya kuwa nitapitia furaha ya kupata mtoto. Bwana wangu ni mzee sana"
# bwana wangu ni mzee
Hii ina maana ya "kwa kuwa mume wangu ni mzee pia".
# bwana wangu
Hili ni jina la heshima ambalo Sarai alimpa mumewe Abrahamu.