sw_tn/gen/17/12.md

40 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifaya Jumla
Mungu anaendelea kuzungumza na Abrahamu.
# Kila mwanaume
"Hii ina maana ya wanadamu wa kiume"
# katika vizazi ya watu wenu
"katika kila kizazi"
# yeye ambaye amenunuliwa kwa fedha
Hii ina maana ya watumwa. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "mwanamume yeyote utakayemnunua"
# agano langu litakuwa katika mwili wenu
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "utaweka alama ya agano langu juu ya mwili wako"
# kuwa agano la milele
"kama agano la kudumu". Kwa sababu iliwekwa juu ya mwili, hakuna aliyeweza kuifuta.
# Mwanaume yeyote asiye tahiriwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda, na unaweza kuacha maneno ambayo yanaweza kuleta maana mbaya katika lugha yako. "mwanamume ambaye haujamtahiri"
# Mwanaume yeyote asiye tahiriwa ... govi la ngozi yake ya mbele atatengwa na watu wake
Maana zaweza kuwa 1) "nitamtenga mwanamume yeyote asiyetahiriwa ... govi la mbele kutoka kwa watu wake" au 2)"Ninataka umtenge mwanamume yeyote asiyetahiriwa ... govi la mbele kutoka kwa watu wake"
# atatengwa na watu wake
Maana zaweza kuwa 1) "aliuawa" au 2) "kufukuzwa kutoka kwenye jamii".
# Amevunja agano langu
"Hajatii amri za agano langu." Hii ni sababu itakayomfanya atengwe kutoka kwa watu wake.