forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1015 B
Markdown
24 lines
1015 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Mistari ya 8 na 9 inarudia kile kilichosemwa katika 14:3 na kuendelea kueleza yaliyojiri baada ya wafalme kukutana pamoja kupigana.
|
||
|
|
||
|
# wakarudi wakaja
|
||
|
|
||
|
Neno "wakarudi" lina maana ya wafalme wanne wageni ambao walikuwa wakishambulia eneo la Kanaani. Majina yao yalikuwa Amrafeli, Arioko, Kadorlaoma na Tidali. "wakageuka na kuondoka"
|
||
|
|
||
|
# Waamori ambao waliishi Hasasoni Tamari
|
||
|
|
||
|
Msemo huu unaelezea juu ya watu wa Waamori walioshindwa. Hawa walikuwa Waamori wengine walioishi katika maeneno mengine.
|
||
|
|
||
|
# na mfalme wa Bela (pia ikiitwa Soari)
|
||
|
|
||
|
Mji wa Bela pia ulikuwa unaitwa Soari. Taarifa hii inaweza kuwekwa mwishoni mwa sentensi. "na mfalme wa Bela akaondoka na kujiandaa kwa vita. Bela pia inaitwa Soari.
|
||
|
|
||
|
# kujiandaa kwa vita
|
||
|
|
||
|
"kujiunga vitani" au "kuanza mistari ya vita" Baadhi ya watafsiri wanaweza kusema kuwa majeshi yalipigana.
|
||
|
|
||
|
# afme wanne dhidi ya wale watano
|
||
|
|
||
|
Kwa kuwa wafalme watano waliorodheshwa kwanza, baadhi ya lugha inaweza kutafsiri hii kama "wafalme watano dhidi ya wanne".
|